July 18 2016 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alikuwa akihojiwa katika kipindi cha Power breakfast ya Clouds fm
na kujibu hoja za wasikilizaji hususani wakazi wa Dar es salaam
kuhusiana na changamoto zinazoendelea ikiwemo ishu ya kukamatwa kwa watu
wasio na kazi rasmi, uvutaji shisha, ushoga, miundombinu na mengine
mengi.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )