Featured
Loading...

EXCLUSIVE: Young Killer kakubali kujiunga lebo ya WCB?


Hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuwa huenda Young Killer atakuwa miongoni mwa wasanii atakayeungana na timu ya WCB.
Sasa July 14, 2016 Ayo TV ilimpata Young Killer na kueleza
tetesi hizo na kusema..‘Hizo taarifa si za kweli maana watanzania wanakuambia tuletee picha halafu wao watapata maneno ya kuandika hii ilitokana na ile picha niliyopiga na Diamond Platnumz kipindi nilivyoenda ofisini kwake, lakini siko kwenye lebo ile ila ikitokea naingia natamani kufika mbali kimuziki’-

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top