Kamati ya
mawaziri wa mikopo ya serikali za wanafunzi wa Elimu ya juu nchini
Tanzania inayoundwa na mawaziri, Manaibu waziri na makatibu wa wizara ya
mikopo kutoka vyuo vyote nchini leo July 16 2016 wamkutana na waandishi
wa habari jijini Dar es salaam.
Kamati
hiyo imeelezea masikitiko yao kwamba kwa kipindi cha mwisho wa mwezi huu
wanafunzi wa elimu ya juu watatakiwa kufika katika vituo vyao vya kazi
vilivyosambaa nchi nzima ili kuendelea kupata mafunzo kwa vitendo ila
wamesikitishwa kwamba wakati wakijiandaa na hilo hakuna mchakato wowote
unaoendelea kupelekea kupata fedha hizo
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )