August 02 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam imetangaza kuanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu August 28 2016 kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Pombe Magufuli.
Akisomewa maelezo ya awali na Hakimu wa mahakama hiyo Yohana Yongolo Inadaiwa June 28 2016 Tundu Lissu alitoa maneno ya uchochezi nje ya mahakama ya Kisutu kwa kumuita Rais kuwa ni ‘dikteta uchwara
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )