kuna dada
mmoja amenihadithia jambo akiomba ushauri anasema ana mpenzi wake
wanaopendana sana wamekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa, kila siku ya
maisha yao haijawahi kutokea akajutia kuwa na huyo mpenzi wake..
kwa
muda huo wote walikuwa wakikutana kimwili kwa njia ya kawaida tu ile
ambayo inaruhusiwa kihalali na wala kulikuwa hamna tabu wala hamna mtu
ambaye hakuridhika na starehe ambayo mwenzake anampa..
anachoshangaa
yeye ni kwamba mwezi wa tatu huu sasa jamaa ananuna hataki hata kwenda
nyumbani kwa huyo dada kisa jamaa amechoka kula mbele peke yake anataka
kanga igeuzwe upande wa pili..
huyu
dada alikataa na kumwambia hiyo siyo sahihi kwake, kitu mpenzi wake
alichomjibu ni kwamba kwani wewe upo nji gani wasichana wenzako siku
hizi wengi huwapa wapenzi wao upande wa pili kwa nini wewe hutaki
kunipa? kama hutaki inamaana utaanza kumpa mtu mwengine ama unaona mimi
sifai?
yule
dada kwa uchungu anasemakila siku alikuwa anampigia simu mpenzi wake
akilia akimuomba aachane na hayo mawazo, lakini kijana bado anadai
anataka, anasema sasa umekuwa ugomvi mkubwa sana kati yao na anahisi
wataachana kinachomuuma nikwamba anampenda sana mpenzi wake huyo, na
mpenzi wake haelewi somo lengine kabisa huyu dada sasa hajui afanye
nini...
akiomba
ushauri kwa rafiki zake wengine wanamwambia ampe tu huyo mpenzi wake
kwani atabadilisha wanaume wa ngapi? wengine wanamwambia hiyo ni dhambi
kubwa lakini akitaka anaweza tu kumpa kwani dhambi ngapi amefanya tokea
amezaliwa iwe hiyo moja? wengine humshauri kwamba siku hizi mpaka
machangu wengi hutoa nyuma ama unataka aende akachukue kwao akileta
magonjwa je?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )