Polepole
amewatuhumu CHADEMA kuwa wanatumia mgongo wa kuminywa kwa Demokrasia
nchini kususia uchaguzi huo wakati ukweli ni kwamba wamefulia baada ya
kutumia vibaya hela ya mfuko wa chama chao.
"Watani
wanakutana leo, agenda ni kutoshiriki uchaguzi unaokuja wa marudio kwa
kisingizio cha demokrasia lakini ukweli ni matumizi mabaya ya fedha
yamefuja mfuko wa chama. Tafuteni visingizio vingine lakini sio
demokrasia. Watu wamechoka siasa za matukio. Kikao chema!" Ameandika polepole katika ukurasa wake wa Twitter.
==>Angalia hapo chini alichoandika
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )