Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweli.
MADAI YALIPOANZA
Mashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo.
Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe.
Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala.
Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.
WEMA ALIPOTAFUTWA
Agoma kupokea simu.
Agoma kujibu ujumbe.
mamawema1Mama Wema
MAMA YAKE MZAZI SASA
“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo), wengine wanasema anatumia dawa za Kichani, hakuna ukweli wowote kwani Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili wake.”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )