Swizz Beatz ni producer mkali ambaye hata ukisema utaje majina makubwa ya Maproducer wakali watano Marekani huwezi kumsahau.
Sasa leo June 20, 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mkali kutokea Nigeria, Wizkid ikiashiria tutegemee kitu kizuri kutoka kwa wawili hao.Kwa sasa nyota ya Wizkid imeonekana kung’ara zaidi baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake uitwao ‘One Dance’ kuvunja rekodi kwenye Billbord Top 100
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )