Jumanee
ya leo August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma
kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka serikalini.
Mwanasheria
wa chama hicho Tundu Lissu amesema hakuna mtu toka Chadema anayetaka
kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi kwa
sababu mahabusu sio pazuri.
"Tunachotaka
kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya
kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri
tunamjaribu hayo ni mawazo yake" Amesema Tundu Lissu
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )