Featured
Loading...

Mambo Yamwendea Kombo Davido..Ampiga Chini Meneja Wake na Kuwachana Sony

 
Saa 24 baada ya kutumia Snapchat kuelezea kummwaga meneja wake wa zamani, Kamal Ajiboye na kuwachana Sony Music, Davido ameajiri meneja mpya.

Davido amemteua Ayo George ambaye hana jina kubwa kuwa meneja wake mpya. Awali alisema kuwa atajisimamia mwenyewe na kudai kuwa hana mpango na soko la kimataifa.

Wachambuzi wa Mambo walishamtabiria Davido hayo kwani inasemekana Msanii wa Africa akisign deal na Sony huwa wanapotea katika ramani ya Music kitu ambacho kimemtokea Davido mwaka 2016 Kwa kutofanya vizuri Kimuziki....

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top