Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini...
Loading...
TAKUKURU Wametangaza Nafasi 350 za Kazi....Bofya Hapa Kutuma Maombi
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa katika nafasi za kazi zifuatazo:1.1 AFISA...
Filed Under:
AJIRA
Majina Ya Wanafunzi waliopata mkopo Awamu ya pili ( Wanafunzi 7,364 ) .... Bofya Hapa Kutazama
Na Mwandishi Wetu,HESLBBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa...
Filed Under:
ELIMU
Serikali Yatangaza Ajira Mpya 1097 (Mamlaka ya Mapato-TRA)....Bofya Hapa Kutuma Maombi
VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Revenue Authority (TRA), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill 1097 vacant posts mentioned below._________________1. TAX MANAGEMENT...
Filed Under:
AJIRA
Mbunge wa CUF Ataka Mwenge usikimbizwe Kwa Madai Kwamba Umepoteza Mvuto

Leo
Jumanne Novemba 6, 2018, mbunge wa Temeke (CUF), Abdallah Mtolea
ameuliza kama Serikali haioni kukimbiza Mwenge wa Uhuru kwa sasa hakuna
umuhimu tena kwani umekuwa ukisababisha mambo mengi ikiwemo magonjwa ya
zinaa ikiwamo HIV.
Akiuliza
...
Filed Under:
SIASA
Sakata la Mo Dewji Kutekwa laibuka bungeni

Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema), ameibua suala la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji kiaina.
Akichangia
mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2019/20 bungeni
leo Jumanne Novemba 6,...
Filed Under:
SIASA
Jeshi la Polisi: Tunaendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu

Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam wamesema wanamsaka mwanaume aliyeonekana
kwenye mitandao ya kijamii akiwa na msanii Wema Sepetu.
Akizungumza
leo Jumanne Novemba 6, 2018, Kaimu Kamanda...
Filed Under:
KITAIFA
Watanzania Kufaidi Matunda Ya Reli Ya Kisasa Mwakani.....Waziri Mkuu alidhishwa na kasi ya ujenzi, Asilimia 96 ya walioajiriwa ni Watanzania

MIUNDOMBINU
ni muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote ambalo linalohitaji kusonga
mbele kiuchumi, kijamii kwa sababu husaidia Serikali katika kufanikisha
malengo iliyojiwekea.
Miundombinu
...
Filed Under:
KITAIFA
DC Muro Awatia Mbaroni Watuhumiwa Watatu Walioshiriki Kumtoa Mimba Mwanafunzi

Na Imma Msumba Arumeru,
Mkuu
wa Wilaya ya Arumeru kwa kushirikiana na Jeshi la polisi Wilaya ya
Arumeru limewakamata watuhumiwa wa Tatu ambao wameshiriki kumtoa mimba
mwanafunzi wa kidato cha nne kwa kutumia dawa za miti shamba suala
ambalo...
Filed Under:
KITAIFA
Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali Imefanya Mambo Makubwa Sana Ndani ya Miaka Hii Mitatu

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO
Serikali
ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, imefanya jitihada kadhaa ikiwa ni
sambamba na kutekeleza sera mbalimbali ambazo zimeiwezesha...
Filed Under:
SIASA